:shock:Kwa style hii ya udini kweli kuna kumuenzi Mwl Nyerere? Kwa hakika mwl alifanya mambo mengi, na philosophy zake zinatumika vyuo vikuu mbalimbali duniani. mfano philosophy yake ya maadui watatu wa maendeleo ya binadamu. sasa kwa sababu elimu hapa Tz si kipaumbele na kwamba watoa elimu hizo kwa ngazi ya msingi ni wale wenye ufaulu mdogo. ukishauriwa na aliyeshindwa na wewe utashindwa.Inauma lakini ndio ukweli huo!