Uchaguzi 2020 Tumuenzi Mwalimu Nyerere kwa kumpa kura John Pombe Magufuli

Hawa wamesahau kuwa huyo wanaesema wanamuenzi alikuwa Mzee wa Uhuru na Kazi, Haki na Amani, Maendeleo ambayo ni people centred (aka maendeleo ya watu). Matokeo yake kwa miaka 5 iliyopita HAKI zetu zimetiwa mfukoni. Hivyo basi kura yangu haiendi CCM na kwa wagombea wao. Huko bungeni ni aibu kabisa badala ya kuisimamia serikali wao wanaisemea serikali (ambayo ina bench la mbele).
 
Falsafa za Nyerere na JPM kuhusu maendeleo ni ngumu kuzilinganisha kwani moja alisema maendeleo bora lazima yawe ya watu wakati mwingine anajua maendeleo bora ni ya vitu
 
Jiulize kwa nini uzi wako hauna like hata 1 na siku imepita?
 
Mimi kama cheusi mangara October 28[emoji1479][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536] R.I.P akwelina
 
Akafie mbali huko
 
Mwalimu Nyerere asifananishwe na vitu vya kijinga kwenye dunia hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…