Tumulike ufisadi: Magufuli tarehe 29/11/2015 alisema pesa za sherehe za uhuru za December 2015 zikapanue barabara ya Morocco

Ameyataka mwenyewe Hayati , yale yote ambayo aliyoyafanya kwa siri yatajulikana. Hata kama kuna miradi aliifanya bila kuonesha matumizi ya pesa wananchi watataka maelezo. Stigler na SGR hazikuwahi kukaguliwa toka miradi ilivyoanza sipati picha ukaguzi ukifanyika...
 
Nasikia/Nahisi Njaaa. halafu J3 Naona kama Masaa hayaendi
 
Msela alisha sepa ila kila kukicha magu magu
Maumivu aliyoacha nimakubwa Sana, hata mama wanavyomponda kwa misukosuko mwanzilishi ni yeye, so hana pakushushiwa lawama
 
Mmiliki wa Home Shopping Centre amwagiwa tindikali usoni
LWAKATARE AACHIWA HURU NA KUKAMATWA PAPO HAPO
MAHAKAMA YAMUACHIA HURU MHARIRI ABSALOM KIBANDA NA WENZAKE
 
Huyo Behaviourist ni mpuuzi kila siku kufikiria chura mchagga huyo
Kwa hiyo upana,mitaro na urefu vimeongezwa kwa TZS 71.85 billion katika barabara yenye urefu wa 4.3KM?

Unaelewa gharama ya kutengeneza barabara kilomita moja kwa kiwango cha lami kwa makadirio ni TZS ngapi?
 
Chuki mbaya sana tena kwa unaa mtu akaongeza na takwimu za uongo ilimradi tu mwamba aonekana mbaya....mtaumwa uharo huu mwaka
Takwimu ya uongo iliyoongezwa ni ipi?
 
Akina Makamba wametunga. Ni ma bingwa wa ku spin. Ila this time watakwama. Kama Salim Ahmed Salim alizushiwa ni mhizibu na mpaka kitabu kikatungwa, wajue kila baya linamwisho wake, na safari hii watakimbia nchi hasa wananchi wakiamua. Maana kula kukicha wanatunga story mbaya za Dkt Magufuli ili watu waone eti wizi na ufisadi Tanzania ni kawaida. Ni kama yule prof muhuni aliyeleta issue ya 1.5 tr mpaka leo wahuni is wanaamini eti serikali iliiba hizo hela, sasa wametunga uongo mwingine wa 4.3 bil. Uzuri Dkt Magufuli alitufungua macho, na watunge hata kitabu cha kumtusi Dkt Magufuli ila wananchi tunazidi kumependa sana.
 
As long as is a head of the state, all what is done under his leadership, he will shoulder the blame! Where is Ben, Azory, maiti za sandarusi, MKIRU etc etc
 
Global TV sijui wanajipendekeza, eti hii wanasema ya Magufuli ni nyingine tofauti na ya wajapani.
YA MAGUFULI

YA WA JAPANI

 
Serikali isiyopenda uwazi huwa na ufisadi mkubwa
 
Ivi ukisema kujenga barabara ya 1 km ni 1B unakuwa unamaanisha nini hasa kutakuwa na usawa kujenga barabara za mijini ambazo zina alama kibao za barabarani na mataa na kwa mfano hii ya moroco ni kama ina barabara za mwendokasi iwe gharama sawa na kujenga highway ya kutoka chalinze morogoro!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…