kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Mbona Chama alishaisamehe Simba ndio akarudi kambini?Sisi wanalunyasi tumuombe msamaha Chama. Nikikumbuka tuliporusha mate mengi kuwapongeza viongozi na kocha kumkataa Chama na kuanza kumsiliba na kumbagaza vibaya kuwa hahitajiki. Na sisi tuliomtetea mkatuona mashabiki wa Yanga.
Lakini ghafla tukarudi kwa speed na kuanza kumpongeza Chama baada ya viongozi kumrudisha nabaki naamini maneno ya Rage kuwa sisi ni mambumbumbu. Kama mashabiki tumekosa msimamo na tunayumbishwa kama mazuzu.
Nawaalika hapa mashabiki wenzangu mambumbumbu tumuombe msamaha chama.
Ameambiwa liniMbona Chama alishaisamehe Simba ndio akarudi kambini?
Au na wewe ulidanganyika na zile taarifa Simba yamsamehe Chama?
Simba imo kwenye mfumo wa Chama, Benchika ameshaambiwa maana yeye ndio kiherehere wa kutaka mbadala wa Chama.
Mbumbumbu Chama hata cheza milele, pambaneni mote mbadala.Sikuwahi kuwa mnafiki juu ya Chama yaani kwa miaka ya hivi karibuni Simba ikicheza bila Chama huwa tunacheza mpira wa papatu papatu na hata ushindi huwa ni wakubahatisha, tukubali tu ya kuwa Chama hana mbadala.
Acha ushamba wako soma comment uelewe nilichoandika. Tatizo ninyi mashabiki wa vyura mna uwezo mdogo sana wa uelewa.Mbumbumbu Chama hata cheza milele, pambaneni mote mbadala.
Wewe Mbumbumbu unakubali timu yenu bila Chama timu inakufa na hamfanyi namna kupata mbadala mtakuwa na akili kweli?Acha ushamba wako soma comment uelewe nilichoandika. Tatizo ninyi mashabiki wa vyura mna uwezo mdogo sana wa uelewa.
Mlichojaliwa utopolo ni ujinga tu na hapa unajidhihirisha ujinga ulionao. Hivi kuna mchezaji huko uto anakiwango cha Chama? Au unarukaruka tu hapa kama chura wa kijani. Au kuna mchezaji hapa Tanzania au EA kwenye nafasi ya kiuongo mshambuliaji anamfikia Chama. Uwe unasoma kilichoandikwa siobunarukia tu nyuzi za watu.Wewe Mbumbumbu unakubali timu yenu bila Chama timu inakufa na hamfanyi namna kupata mbadala mtakuwa na akili kweli?
Chama ana rekodi gani za maana kwenye soka letu kushinda wengine?Mlichojaliwa utopolo ni ujinga tu na hapa unajidhihirisha ujinga ulionao. Hivi kuna mchezaji huko uto anakiwango cha Chama? Au unarukaruka tu hapa kama chura wa kijani. Au kuna mchezaji hapa Tanzania au EA kwenye nafasi ya kiuongo mshambuliaji anamfikia Chama. Uwe unasoma kilichoandikwa siobunarukia tu nyuzi za watu.