Tumuombe Mungu about heslb

da rhino

Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
6
Reaction score
1
wana JF wale wenzangu na mimi tumuombe mungu kuhusu loan maana huyu jamaa ni kama kifo muda wowote atakuja na huondoka akiwa na sehem mbili wenye furaha na wenye majonzi tukazane kumuomba muumba wetu atujalie tupate mkopo
 
kweli kabisa,,ni sawa na mgonjwa anayesubili majibu,,baada ya kupima HIV,,,,,tuombe mungu,,,lakini mungu mkubwa jamani,,,mambo yatakuwa fresh tu,,,,,,
 
Allah is great(Allah akbar),tuishi kwa matumaini kama mgonjwa wa ukimwi.....!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…