Tumuombee Faiza Ally, mzazi mwenza wa Sugu, ana maumivu makali sana

Tumuombee Faiza Ally, mzazi mwenza wa Sugu, ana maumivu makali sana

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Siku ya jana ilikuwa ni furaha kuu kwa Mhe Sugu baada ya kufunga ndoa takatifu huko Mbeya, lakini upande wa pili wa X wake Faiza Ally ni kilio
udakutz_-20190901-0001.jpeg

Screenshot_20190901-102453.jpeg

udakutz_-20190901-0002.jpeg
 
Una kazi sana wewe, ukiona mpaka amekuwekea hiyo picha na wewe kuiona na kuileta hapa ujue ndicho alichotaka, wewe umjadili, mission accomplished, kwa kifupi anakutumia bila wewe kujijua, huyo anatafuta attention, na wewe umeamua kutumika!
 
Kaka uzur wa mtu uko machoni kwa mtu,,sura au matako ni mapambo yanayovutia,,mm nimevutiwa na kashape kake,kama una nmba zake tatadhali mwambie asome kuna mtu nateseka juu yake,,ntamfanya amsahau mheshimiwa Rais wa Mbeya
Aisee iv Ni Mimi na kengeza au vipi,mbona Mimi namwona uso umemkoboka Sana namimi mwanamke wa type iyo kwangu Ni kinyaaa
 
Kaka uzur wa mtu uko machoni kwa mtu,,sura au matako ni mapambo yanayovutia,,mm nimevutiwa na kashape kake,kama una nmba zake tatadhali mwambie asome kuna mtu nateseka juu yake,,ntamfanya amsahau mheshimiwa Rais wa Mbeya
Unataka namba zake njoo na buku tano mzee,[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Uzuri bila akili ziumiazo ni sehemu za siri,yeye alizani Mzuri ,kumbe uzuri wa nje,Sugu kaangalia uzuri wa ndani.Akiendekeza ujinga wake atadanga mpaka uzee wake.
 
Back
Top Bottom