Tumuombee Faiza Ally, mzazi mwenza wa Sugu, ana maumivu makali sana

Makonda sidhani kma anajua nini anaongea,ndoa za watu yeye zinamuhusu nini?
 
Ila ningekuwa na hela ningemuoa huyu dada ni vile tu mm kapuku namkubali saaana huyu mdada ila najua cwez hata kusalimiana nae ,mimi namuombea kwa Mungu
Duuuh umenichekesha ila tafuta chapaa kila kitu malengo
 
Yani unaenda kuzaa mtoto n mtu mwingine halafu bado unamtaka mzazi wa firstborn wako,huyu dada dish limeyumba sana
ujue yule dada alikuwa so desperate sjui akili iliruka akawa anashindwa amrudishe vipi, akaona akichafua mwanaume atajichanganya amrudie
 
Yani unaenda kuzaa mtoto n mtu mwingine halafu bado unamtaka mzazi wa firstborn wako,huyu dada dish limeyumba sana
alafu anatudanganya yuko happy na situation alonayo ya kumzaa mtoto wa pili eti alipenda, sasa km alipenda na kumpenda baba wa mtoto mbona saivi analilia kibamia, mara alitaka kumla kiboga, sugu ni mwanaume mstaarabu sana maana uyu dada alimchafua aisee
 
Yule anashida kichwani sio kawaida mtu kufanya afanyayo,huyo baba wa mtoto wa pili haoni huo ujinga wa bidada,pia sugu alitaka kumtoa rinda kwahiyo sasa hivi kawa mzoefu wa kugawa rinda ndio anataka kumtunuku sugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…