Tumuombee Leejay49, leo anaingia chumba cha upasuaji kwaajili ya jicho na sikio

Poor Brain

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
19,644
Reaction score
40,546
Good morning wakuu.

Natumaini tumeamka salama. Naomba kwa kila mmoja vile anavyoweza kumuombea, dada etu Leejay49 leo anaingia chumba cha upasuaji, kwaajili ya jicho na sikio.

Usiku nimemtafakari sana huyu binti, ana roho ya kipekee sana. Akiwa anapitia changamoto za kiafya, ila akaanzisha hili la vocha na kufurahi na wengine. Hii ni zaidi ya moyo wa kawaida tulionao sisi.

Ana moyo mzuri na najua Mwenyezi Mungu, ataangalia mengi mazuri kwake, na hili litapita. Tumuombee atoke uoga, awe na imani kubwa na ujasiri. Mwenyezi Mungu akamfanyie wepesi, arudi tena hapa, tufurahi naye. Tunakupenda sana. Leejay49 ❀️.

Mbaga Jr
Vincenzo Jr
Bantu Lady
Leejay49
Etugrul Bey
Huna baya tajiri
Mwachiluwi
Foffana
Madame B
King Rabbit
Sisyphus
Kapeace
Mshana Jr
 
Maombi yangu yapo na Leejay49 hakika tutamuona tena akiwa na afya na furaha tele kama zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…