Tumuombee Msamaha Godzilla

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,753
Ni muda sasa Godzilla tangu aachane na Mpenzi wake Doreen Andrew ""Deeandy amekuwa mtu mwenye frastruation na hayuko kama alivokuwa zamani.

Zilla amekuwa wakueleza matatizo ya familia yao kwenye mitandao ya kijamii.
Zilla utendaji wake wa kazi umeshuka sio kama alivokuwa hapo awali.
Zilla amekuwa mtu wa kuanzishiana noma kwenye mtandao wa kijamii..

Kuna siku alileteana noma hadi na Mwana Fa kule twitter ila Mwana Fa akatumia ukubwa wake nakuepusha maneno.

Kwa sasa naona kawa hata kwenye Interview akiitwa uzungumzaji wake ni kama mtu amabae hajiamini na hana imani na anachokifanya, mfano ni Interview ya XXL alivokuwa anatambulisha wimbo wake na Gnako-Kila wakati.

Sasa my take tumnusuru huyu Msanii wetu, kaka yetu, mdogo wetu. kama ni mapenzi please please Deeandy alisha Move on, pia Deeandy msamehee huyu bwana kama kosa lilikuwa lake msamee uokoe career yake, pia utamuokoa asije akaenda mbali zaidi akatumia madawa.

Ahsante.
 
Issue zingine ni too personal unaanzaje kumuombea mtu msamaha kwenye mapenzi????mi nahisi mtoa mada unang'ata na kupuliza labda umeamua kumponda Godzilla
 
Yooh nigger u just sound truely nimetoka kumcheki mchizi Enews ya EATV dakika 2 zilizopita,the guy ni kweli hayuko normal aseee haeleweki anachoongea anajaribu kubuy furaha but usoni unaona kabisa he z just missing something/somebody.God help my ninja from salasala!
 
Wewe umeshamuombea?
Acha umbea basi.
 
Aache kutumia hivyo vitu vinavyomtoa akili kwanza arejee ktk hali ya kawaida ndo umeombee msaada..

Huwezi kuwa na fikra sahihi kama kila mda bangi zipo kichwani..

Tell him to get back to normal and everything is gonna be easy
 
Huyu jamaa anainga lifestyle ya 50 Cent haya sasa acopy na mapenzi tumwone mjanja....
 

Tumuombee kisa kakosana na demu?..mbona kukosana na demu ni kitu cha kawaida??..kama anachanganyikiwa huo ni ujinga wake..tena ni ujinga uliopitiliza..
 
Kitu kikubwa kinachomtesa Godzilla ni Bill Naz.

Godzilla alimlalamikia sana Bill Naz anakopi style yake ya uimbaji.
Anaumia kuona Mtu anaemkopi ametusua maisha kuliko yeye alianza Game kitambo.

Hii imempa stress sana mpaka anatumia vitu vya kumchanganya akili.

Godzilla kawa sio yule wa zamani. Smart na akitoa ngoma lazima ikamate.

Interview ya Xxl- Cloudsfm alibolonga sana.
 

Nigger is the term you don't wanna be using my friend, specially on international platforms, it's racially offensive regardless of your color. Nigga, that's the right one if you want to.
 
Hata kama n kupenda zla
Alifoat kwa d
 
Dish tiyari limeyumba huyu kijana...Doreen okoa jahazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…