Tumuombee msanii maarufu kwa jina la Jini-Kabula

Madhara ya kujiita JINI ndio hayo. Ana majini tu huyo akaombewe!
 
Pole sana Jini.
KUNA tetesi Jini alishatembea na Bushoke.
 
Ama kwa hakika "hujafa hujaumbika"!!

The girl needs help, anahitaji msaada wa kisaicolojia (maombi & dawa vikiwemo). Bado yupo katika hatua za awali kabisa za psychotic depression so she is having a nervous breakdown (kama sio maigizo)! She needs a long talk to someone ambae atamsikiliza tu. She needs someone to tell her again and again and again that "everything will be fine despite anything!" It's Life and it has to go on no matter what!" ....

Dah! I wish ni msaidie. .....pole sana dada, Mungu ni wa wote, kubali kuanguka na kuumia, simama tena, futa vumbi, futa damu, songa mbele! Muamini yeye tu!
 
Word....!!!.

Hila anakutana na watu wasio sahihi.

Hapo wata mbeza hata kulikuza tatizo zaidi na zaidi

Carpe diem.....[emoji187]
 
Heheheh eti Wema ukiniona hutaamini, kwani Wema ndo mama ake? Kwanini asimuombe msaada Zari au Jokate ?asituletee shobo wana ukawa wakati alimtukana Lowasa pia Wema kwamba hazai
 

umesema kweli mdada,wengi wanaangamia kwa kukosa access to treatment for mental health problem,sijui siku hizi km zimeongezeka,ila nimekumbuka,hospital zilizkuwepo zilikua mbili tu;muhimbili Dar,na Mirembe Dodoma,sad aisee,
 
Mbna nasikia karogwa cz ya kuchukua mme wa mtu
 
Labda kweli ni pacha na Rihanna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…