nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Manula hana uzuri wowote zaidi ya uchawisiyo rahisi kiasi hicho..... Manula ni habari nyingine kwa tanzania sasa.... ANANIKUMBUSHA ENZI KASEJA YUPO NJEMA.
Tanzania kweli ni nchi tamu sana. Najisikia kucheka mpaka kidogo nimwage kahawa yangu.Manula hana uzuri wowote zaidi ya uchawi
Manula hana uzuri wowote zaidi ya uchawi
anadaka utafikiri anachuma maembe,bure kabisa.siyo rahisi kiasi hicho..... Manula ni habari nyingine kwa tanzania sasa.... ANANIKUMBUSHA ENZI KASEJA YUPO NJEMA.