Gari isiyo na namba isipokuwa barabarani ni sawa na doli tuSikujua kama una akili ndogo kiasi hicho. Hujui kama magari huwa yanatengenezwa kwanza, halafu namba huja baadaye! Halafu, hata bajaji hatuiti ni doli, sembuse gari zuri kama lile? Acha wivu na roho mbaya.
La kwanza kivipi? Yako ya kuchaji ambayo yapo barabarani.Ni la kwanza hapa Tz.
eee bhana eeee !!Siyo mwanasayansi ni mjasiriamali.
Uanasayasi siyo makalio
Hilo llilotengenezwa Tanzania la Masoud Kipanya mbona hatulioni barabarani?Hayo yaliyopo barabarani yametengenezwa Tanzania?
Sasa mbona wanakuza m5ambo Hadi sie wengine tunaanza kujiona mabogasi!Nashangaa yako kibao