Ukweli ni kwamba katibu mkuu aliye tenguliwa ni watu tunao waita “no nonsense” yaani hawapendi ujinga ujinga kama alivyokuwa Magufuli. Lakini tabia hii haitoshi kumfukuza mtu kazi ambaye ni mtaalamu wala sio mwanasiasa. Watanzania wanataka maji safi na bora na huyu hajafika hapo kwa bahati mbaya huo ukali ndiyo umemfikisha hapo. Lakini kukataa kudharauliwa kwa wataalamu wetu hasa wa kike ni swala muhimu sana.
Kama hatarudishwa kazini sita shangaa huyu mdada akaenda upinzani na haitamchukuwa muda kupata umashuhuri.
View: https://youtu.be/3BImcjuEC4c
View: https://youtu.be/GAEQhk_jNpk
View: https://youtu.be/WIZpJSSnWDY
Kama hatarudishwa kazini sita shangaa huyu mdada akaenda upinzani na haitamchukuwa muda kupata umashuhuri.
View: https://youtu.be/3BImcjuEC4c
View: https://youtu.be/GAEQhk_jNpk
View: https://youtu.be/WIZpJSSnWDY