Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Apo bila picha ni uongoTumekuwa tukihimizwa kutafuta hela na tusiendekeze mapenzi, Sasa bwan mdogo wetu Yamal yashamkuta huko,demu kawekwa kwa mapaja na mwamba mwingine kijana kahamaki,... ingawa kiasi fulani kajipata je, tumwambiaje sasa maana hela tayar anazo na zinazidi kuja....
Aah mademu kmmke wana fadhila ngumu kinoma, hawana akili hata kidogo ni hisia tu ndo zimejaa fuvuniTumekuwa tukihimizwa kutafuta hela na tusiendekeze mapenzi, Sasa bwan mdogo wetu Yamal yashamkuta huko,demu kawekwa kwa mapaja na mwamba mwingine kijana kahamaki,... ingawa kiasi fulani kajipata je, tumwambiaje sasa maana hela tayar anazo na zinazidi kuja....
wewe c ni shangazi kabisa ..? , unatumiaje pesa za vijana πAtafute hela wanawake tuzitumie.....
Pesa zangu zinatumiwa na vijana πΉπΉπΉwewe c ni shangazi kabisa ..? , unatumiaje pesa za vijana π
ππππ wenye pesa wanaachwa , makapuku wanaachwa, any way labda ndio tiketi ya kumshusha dogo ki aina, maana dogo anaenda kuwa superstar, kuna namna wanamtengenezea mazingira ashuke.Tumekuwa tukihimizwa kutafuta hela na tusiendekeze mapenzi, Sasa bwan mdogo wetu Yamal yashamkuta huko,demu kawekwa kwa mapaja na mwamba mwingine kijana kahamaki,... ingawa kiasi fulani kajipata je, tumwambiaje sasa maana hela tayar anazo na zinazidi kuja....
hiyo ilikuwa lazma coz umri wake hauruhusu hivyo vitu kuwa chini yakeAlicho nifurahisha huyo mtoto ni kuamua kuweka pesa, mali zake na mshahara wake chini ya jina la mama yake alifanya vizuri sana
ππππ profesor hakimiAlicho nifurahisha huyo mtoto ni kuamua kuweka pesa, mali zake na mshahara wake chini ya jina la mama yake alifanya vizuri sana, mwanafunzi bora wa professor Ashraf Hakimi
Nasikia mali zake pia kaandikisha Jina la mamaye kama alivyofanya Halimo Achraf.Tumekuwa tukihimizwa kutafuta hela na tusiendekeze mapenzi, Sasa bwan mdogo wetu Yamal yashamkuta huko,demu kawekwa kwa mapaja na mwamba mwingine kijana kahamaki,... ingawa kiasi fulani kajipata je, tumwambiaje sasa maana hela tayar anazo na zinazidi kuja....
Kama unatafuta hela ili umridhishe mwanamke basi endelea kujitafuta sanaTumekuwa tukihimizwa kutafuta hela na tusiendekeze mapenzi, Sasa bwan mdogo wetu Yamal yashamkuta huko,demu kawekwa kwa mapaja na mwamba mwingine kijana kahamaki,... ingawa kiasi fulani kajipata je, tumwambiaje sasa maana hela tayar anazo na zinazidi kuja....
Alazimishe party awaite marafiki zake huyo demu watamtumia salamu, money speaks louder than words, (hela zinaongea kwa sauti kubwa kuliko maneno)Tumekuwa tukihimizwa kutafuta hela na tusiendekeze mapenzi, Sasa bwan mdogo wetu Yamal yashamkuta huko,demu kawekwa kwa mapaja na mwamba mwingine kijana kahamaki,... ingawa kiasi fulani kajipata je, tumwambiaje sasa maana hela tayar anazo na zinazidi kuja....
Basi na wewe kula za wazee.ππPesa zangu zinatumiwa na vijana πΉπΉπΉ
Uko wapi.....Basi na wewe kula za wazee.ππ