Tumwambie au Tumuache?

Anatoka mpumbavu mmoja huko hajawahi kucheza mpira,hajawahi kamari,haijui betting addiction,hajawahi danga.....

Anakuja kusema wanachuo wameacha kudanga na kubet anataka wawe mashoga.
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lakini hivi watu waozungumzia suala kuacha kubeti wanakuwa na akili gani jamani?hivi unawezaje kukaa huko na mawazo yako unakuja kumwambia mtu aache kazi yake kirahisi tuu alafu aende wapi kufanya nini wakati ajira hakuna na mkisema tujiari kwa namna wavyotaka huo mtaji tunautoa wapi?

Hebu watuache na kazi yetu kwanza nishagundua hata chagyzi zenyewe saivi nayo ni kubet tuu,maana naona hata wanaochaguliwa naona ni namna ile ile.

Hebu watuache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…