Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Karma is real and her other name is a bitch, nawaza hivi hawq vichwa maji wenye Imani za Freemasons ni wapumbavu kiasi kwamba pamoja na uzee wao hawaoni umuhimu wa utengamano na mshikamano wa kitaifa.
Magufuli alihimiza sana maombi, akazikwa kwa kejeli, maiti ilizungushwa kwa kusherehekea, sasa hata historia yake tu hawaitaki, ni kweli hawa wote walikuwa wanafiki kiasi hicho.
Hawa mashetani laana za kitaifa zitawakugusa kidogo tu mfano vifo vyao vya ghafla, ambavyo kwa ishara ni kwamba vipo vinakuja kwa maono ya malaika aina ya twiga mafua na damu kuganda wajikinge sana navyo.
Basi pasipo shaka kama wanataifa tuombe heri Hayati Magufuli asikasirike na Mungu kumwaga gharika kubwa kabla ya 2025.
Maombi yanatenda vema sana na Mungu akatupe nguvu na ustahimilivu wa kutochoka kuomba juu ya heri ya taifa hili.
Mungu wetu mkuu atusimamie vema.
Mungu wetu mkuu habagui kama kila avunjikae guu basi la mkuu halikumkaa.
Wasiosujudu na kusali Mungu nao guu lao halitapoa wala halitaboa.
Aliye mkuu hutenda ukuu wake kwa awaye yeyote.
Nawasilisha
Ni Mimi Wadiz a.k.a Baharia