Ndugu zangu uchaguzi wa Mwenyekiti wa AU unafanyika siku ya Jumamosi na wagombea wa kiti hicho wanatoka nchi za Kenya, Madagascar na Djibouti. Mgombea kutoka Kenya ni Mhe. Raila Amol;o Odinga ambaye pia anatoka Afrika Mashariki.
Tumwombee Ndugu Raila aweze kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti , Kwanza ni Mwenzetu toka Afrika Mashariki na pili ni rafiki wa damu na Hayati Mhe. Magufuli. Mungu amtangulie na aweze kuibuka kidedea katika uchaguzi huo.