Tumwondoe Jamal Malinzi TFF hapa

Sasa useme unataka soka lisonge mbele kuelekea wapi?

Semeni mnataka viongozi wafanye nini
 
mbele kwenye mafanikio. tunataka viongozi waache ubinafsi ,waache kufanya tff ni sehemu ya kujineemesha. wawe na mipango endelevu ya kisasa kwa team zetu na taifa stars, waache usimba na uyanga kwenye maendeleo ya mpira, upangaji matokeo, vilabu vineemeke na mapato ya milangoni, team zisaidiwe kupewa utaalam wa kuendelea kimichezo. timu ya taifa ipatiwe kocha mwenye uwezo na iwe na kambi nzuri, mechi zichezeshwe pasipo kupangwa matokeo n.k haya yatafanya soka letu likue.
Sasa useme unataka soka lisonge mbele kuelekea wapi?

Semeni mnataka viongozi wafanye nini
 
dada wanjiru unamsubiria malinzi arudi awamu ya pili? safari hii utarudisha nyumba uliyopangishiwa.... ulidhan hatujui tunafnya nini.
 
Mjadala huu ndio sahihi.
Naomba members waongeze ama kupunguza kutoka kwenye post hii niliyoi quote.
TFF inaweza kujiendesha?
 
tukipata kiongozi mwenye kujali maslah TFF inaweza kujiendesha ndugu yangu. uwezekano huo upo angalia pesa zinazopatikana kutoka kwa wadhamini na pia makato angalia namna gan huyu malinzi alitumia pesa vibaya alipoamua kwenda kukaa hotelini for no reason wakat tff ina office n.k angalia pesa ambazo ametumia mamillion ya pesa. tff ilikuwa na uwezo hata wa kuanza kujenga uwanja wa michezo au viwanja vyake na ikawa inakodisha kwa ajili ya mechi ukiacha hvi vya serikali. hicho kilikuwa ni moja ya vitega uchumi vizuri ambavyo mimi binafsi nlimwambia mwanzoni kabisa.... akaonekana hataki pesa itumike kwa maendeleo na ndipo alipoamua kutafuta safu yake ya wizi.
Mjadala huu ndio sahihi.
Naomba members waongeze ama kupunguza kutoka kwenye post hii niliyoi quote.
TFF inaweza kujiendesha?
 
Aseeeeeee


UPDATE: Malinzi, Mwesigwa na Nsiana wamesomewa mashtaka 28

Kughushi waraka wa kamati ya utendaji ulioonyesha kuwa EXCOM imeridhia kubadilishwa kwa Signatories wa Bank hii inamhusu Malinzi na Mwesigwa pia.

Kufoji risiti za kuwa Malinzi anaidai TFF (risiti zipo zaidi 20 zinazodaiwa kufojiwa) hii inamhusu Malinzi pekee.

Na Mwisho ni shtaka la kutakatisha fedha dola za kimarekani 375418 hii inamhusu Malinzi, Mwesigwa na Nsiana
 
Watanzania banah"""leo ndo mnasituka? Malinzi anamaliza uongozi wake nyinyi ndo mnasituka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…