Tumwondoe Jamal Malinzi TFF hapa

Malinzi anafaa tena sana .... nachomkubal ameanzia chini baada ya kugundua timu kubwa ya Taifa haiwez kutufikisha popote
Tumeshirik mataifa ya Afrika under 17 na tunaandaa nadhan mwaka 2009
Huyu mtu anafaa coz ana vision na mipango inaonekana
 
Hao wanaompinga Malinzi wameshikwa masikio na yule mchumia tumbo na popoma Gentamycine hawajui chochote kile wao ili mradi basha wao Popoma kaongea kitu fulani na wao hao kama nyumbu wa makinikia.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Uongozi wa mpira sio kibao kata,hao pamoja na wewe ni wacheza kibao Kata.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Nahisi utakuwa mwandani wake Malinzi kwa jinsi unavyoonyesha mahaba yaliyopitiliza.

Na kama amekulipa basi amechagua mtu asiyejitambua na anazidi kujipunguzia heshima.

Tetea kwa hoja na si matusi
 
Eti Mwenyekiti wa chama cha mpira hajui kama mtu ana kadi ngapi za njano, unamwita mchezaji kumuuliza yeye mwenyewe.
 
Nahisi utakuwa mwandani wake Malinzi kwa jinsi unavyoonyesha mahaba yaliyopitiliza.

Na kama amekulipa basi amechagua mtu asiyejitambua na anazidi kujipunguzia heshima.

Tetea kwa hoja na si matusi
Nyie mnaompinga Malinzi kwa ukabila na matusi mmeleta hoja gani za kumpinga Malinzi ikiwa mazuri na mabaya yake pia mmeleta hoja gani kuwatetea hao mnaoona wanafaa badala ya Malinzi?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kaweka tartan kaitaba wakati kuna viwanja vikubwa muhimu vya miji mikuu ya nchi vya sheikh amri abeid, nyamagana na mkwakwani havina.
 
Kaweka tartan kaitaba wakati kuna viwanja vikubwa muhimu vya miji mikuu ya nchi vya sheikh amri abeid, nyamagana na mkwakwani havina.
Airport ya Chato nayo unasemaje,inafaa kuwa chato badala ya Mwanza?halafu ukitoka hapo nendà kule Mpanda Katavi kwa Pinda kaiangalie ile Airport ni ndege ngapi zinatua na kupaa kwa wiki tuu ukimaliza uje hapa ulete mrejesho.
 
Kaweka tartan kaitaba wakati kuna viwanja vikubwa muhimu vya miji mikuu ya nchi vya sheikh amri abeid, nyamagana na mkwakwani havina.
Hafai, hasafishiki hata kwa jiki
Aliwapa ubingwa yanga
Taifa stars inaboronga
Ni mkabila
tatzo tumejawa na chuki....Malinz atoke kwa lipi? nan mzuri kwenu? hata Tenga kipind kile mlisema hafai atoke, mtu kaanzisha lig ya wanawake, serenget boys tunaona mambo yake.... tusijikite tu kumkosoa mtu wakat kuna mazuri yake
 
Hivi ni wangapi wanao piga kura humu
Maana kama wapo tuwajue
Sasa mimi sipigi kura hata nikisema tumwondoe si kupoteza mda tu
 
Jamani ccm mmezidi...
Rambirambi za wanakagera mlikula na mnataka kumuondoa Malinzi wao?????
Kupitisha mikataba ya kinyonyaji kwa watz bado hamridhiki?
 
Hivi ni wangapi wanao piga kura humu
Maana kama wapo tuwajue
Sasa mimi sipigi kura hata nikisema tumwondoe si kupoteza mda tu
Hao wanaendeshwa na chuki,wivu na husda tuu maana ukiwauliza watuambie mazuri na mabaya ya kumtaka Malinzi atoke hawajibu kitu zaidi ya kuishia ukabila na uYanga.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…