Habari wakuu na poleni na mihangaiko ya maisha. Tusikate tamaa tuzidi kumwomba Mungu afungue milango ya baraka.
Kwanza nashauri kwa watu wenye watoto wadogo kwamba sio vema sana kuanza kuwavalisha nguo za mitumba wakiwa bado wadogo.
Huenda maisha ni magumu sawa, ila tujitahidi kadiri tutakavyojaaliwa na Allah tuwavalishe watoto wetu nguo za spesho wapendeze.
Pili kwa wakazi wa Dodoma na viunga vyake nimewaletea habari njema hasa kwa wale wenye watoto. Hata kama huna mtoto mdogo basi ndugu yako ama jirani yako anaye mtoto. Mpelekee zawadi ya nguo za spesho.
Tuna duka maeneo ya sabasaba Dodoma la nguo za watoto wadogo pamoja na vitu vingine kama viatu, mabeseni ya watoto, n.k.
Lakini tunatambua kuwa wateja wetu huenda wana ratiba nyingi hivyo kuwawia vigumu kufika dukani kwetu. Kwa msingi huo tumeamua kuweka duka letu hapa mtandaoni ambapo utachagua bidhaa yako na sisi tutakuletea hadi ulipo na utalipia mara tu baada ya kupokea mzigo na kuridhika nao. Ni free delivery ndani ya jiji la Dodoma.
Bei zetu ni nafuu sana ukilinganisha na za sehemu Zingine. Kadhalika bei ya dukani kwetu ni sawa na bei tutakayokuuzia bidhaa ukiletewa nyumbani kwako.
Kila mara nitakua na-update uzi huu kwa kuweka bidhaa mpya na bei elekezi.
Mawasiliano: call/whatsup 0714846721
Instagram: watotofashion_ Dodoma
Angalizo; sishauri sana biashara ifanyike PM kwa sababu members wengi hawapendi identity yao ijulikane. Urahisi ni kuchukua namba hyo unanicheki, nafikiri itakua safe zaidi.
Bei za bidhaa zetu.
1. Beseni la vitu vya watoto 75000/=
2. Truck suit za adidas na Tommy na gucci 25000/=
3.kofia nzito 4500/= . kofia nyepesi 3500.
4. Baby walker 85000/=
5. Poti 12000/=
6. Neti 35000/=
7. Codry (suruali za kuteleza) 22000/=
8. Baby shower nzito 38000/= baby show nyepesi 28000/=
9. Baby carrier 38000/=
10. Jeans kamatia chini 23000/=
11. Tisheti za form six 18000/=
12. Bukta / pensi 22000/=
13. Gauni type 1 12000/=
14. Gauni type 2 28000/=
15.Gauni type 3 35000/=
16. Gauni type 4 55000/ =
17. Gauni za shela au resi 35000/=
18.viatu vya kike 16000 vya kiume 18000
19. Kofia za cap 4500/=