Kutengeneza ufunguo WA ziada WA WA Land Rover Discovery 3 itagharimu kiasi gani?Habari wadau,sisi ni Locksmith tecnician ambao tume base katika kufanya programming ya funguo za magari madogo na makubwa (trucks) ambazo zinatumia sensor, pia tunatoa pincode kwenye control za malori kam Iveco ambazo mara nyingi husababisha gari kutokuwaka. kama umepoteza funguo au unataka kuongeza ya ziada wasiliana nasi. tembelea website yetu kwa maelezo zaidi Wakudesahrt .Pia unaweza kutupigia kwenye namba 0714704097/0655222512 kwa maswali na ufafanuzi zaidi.
mkuuu hiyo bei umeua sana khaaaaa. milion 1.3 kuweni nahuruma basi bila shaka ww ni AMUR WA BINOHiyo ni mil 1.3
mkuuu hiyo bei umeua sana khaaaaa. milion 1.3 kuweni nahuruma basi bila shaka ww ni AMUR WA BINO
vipi nikitaka kujifunza hiyo ishu mkuu inakuwaje?Sio hivo kaka kwa funguo za discovery zinagharama kwel tofauti na funguo nyingine, me sio Amur ila ni jamaa yetu hua tunashirikiana kwenye kazi
mkuu basi niandike kabisa jina langu.ofisi zenu zipo wapi??mkuuKwa sahiv bado hatuja weka mambo yetu sawa,ila kuanzia mwez wa tatu kilakitu kitakua sawa,maana hilo la kufundisha mafundi wengine ni moja ya plan yetu
@Brainze 11 unaweza ukawa na tacho softwere? kwaajili ya millage/odometer calculating?
coz natumia digipro3 so nikitoa eeprom kwanza nikisoma napata millage zilizopo nikitaka kuandika new millage then nikiweka okey inanipa neno hili CHECK WRITEN VALUE na kiforce basi inajiandika millage tofauti na zilizokusudiwa.
na vile vile na carprog so mahesabu ndio mtihan