I wish i have
Senior Member
- Nov 2, 2021
- 135
- 62
Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu Tanzania kuingia kwenye uchumi wa Kati kwa kutumia vigezo mbalimbali vya kidunia.
Swali (Money Maker): Tuna idadi ya watu takribani milioni 56 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna wangapi waliokubaliana kuingia uchumi wa KATI?
Waziri (BOT): Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na World Bank unaonyesha duniani kuna vigezo mbalimbali vya kutambua utulivu wa kiuchumi wa mtu mmoja mmoja na kwa mujibu wa ripoti ya Royal Bank of Canada Tanzania imevuka vigezo hivyo na watu wanautulivu wa hali ya Juu. Je watu wa Jf mna mtizamo gani kuhusu Tanzania kuingia Uchumi wa Kati:! Tuna hadhi hiyo?