Tuna imani naye

Tuna imani naye

Ufanyike utaratibu aingine studio mapema iwezekanavyo, wimbo uko vyema, na kipaji anacho.
==
Wimbo utakuwa matata zaidi akishirikishwa Vitali Maembe, hebu mtafuteni pia.
 
Ngoma nzuri hiyo, kiitikio kimenikaa hicho, atoe full sasa
 
Back
Top Bottom