Ni kweli.Je tuna watu wenye commonsense wa kujifunza mambo rahisi na ya msingi kama hayo? Je tuna utashi wa kufanya hivyo? Je tuna nia ya kujifunza? Burkinabe wana viongozi wenye common sense siyo hawa wenye uncommon senseRais wa Burkinafaso Bwana Ibrahim Traore ameamua kuwaongezea mshahara walimu na madaktari nchini kwake Burkina Faso huku akiwa ameshusha mishahara ya wabunge wa nchini humo.
Maoni ya mdau:
Yaani kaangalia kaona wabunge wanachukua pesa za bure bila kufanya kazi, hizo pesa bora nikawaongezee walimu na madaktari.
Kila Mwafrika anahitaji hiki kitu nchini kwake kwani ni kweli wabunge wanakula mapesa mengi bure kabisa halafu kuna watu wanahangaikia afya zetu, wanawahangaikia watoto wetu wanapokea mishahara kiduchu kutofautisha na watu wanaopigwa viyoyozi bungeni.
View attachment 3289239
Imani za kishirikina zipo duniani kote sana sana Africa, hata Burkinafaso hizo imani zipo, sio sababu ya hilo jambo kushindikana Tanzania.Jaribu Tanzania, utalogwa dk hiyo hiyo
Hivi probox haziwafai kweli? mbona ni tugari tugumu sana, wakipata zero kilomita kila mmoja ndio kabisa watadumu nazo miaka na miaka.Hasara nyingi ambazo CAG huzibaini husababishwa na over expenses matumizi makubwa ndani ya makampuni na mashirika husika, wasimamizi wa mashirika hayo Wapewe meno ya ku regulate matumizi wakisaidiana na wahasibu wao.
Cut down salary
Cut down posho
Close monitoring maintenance cost
Ndipo heshima ya msimamizi wa taasisi itapatikana, hili linavunja hata ile usimamizi wa viongozi wa mashabiki husika wanaonekana bogus kwani (shirika linapopata hasara Wewe msimamizi ndiyo bogus) / failure!
Halafu zimefanyia nini hatujuiNan yuko sahihi
Sisi leo deni la taifa ni zaidi ya tr 90 vp nan katuloga?
Na wengine wanatamani afe!!Rais wa kuigwa ila kwa namna viongozi wengi wa kiafrika wanavyopenda ufisadi watajifanya hawaoni ya Traore.