Tuna mengi ya kujifunza Burkinafaso

Muda si mrefu mtasikia tena deni limeongezeka.
Msishtuke kaeni kwa tahadhari tu.

Raisi wa Burkina Faso, siyo tu Komando, ila naamini pia Elimu ipo kichwani ya kutosha kupita maraisi wengi wa Africa 🌍

Kaamua kujilipua haswaaa tena kwa Kutumia AKILI KUBWA.

Hata kama si yote ila yapo mengi ya kujifunza.
 
Na bado atasumbuliwa kulipwa..

Nchi ya ******* sana hii
 
kuna maguta mkaa ya mawe yanayotegemewa na france kuzalisha umene
 
Inawezekana sn, mbona Zambia ameweza
 
Hawa viongozi wa Africa ni tatizo kubwa kuliko hata wazungu wenyewe, Trump kasema wameficha hela huko za kutosha
 
Nani atakuua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…