Kijana usihofu cha muhimu lishe mimi yalishanikuta Mtoto Ana miezi nane mimba tena, tukaenda kwa docta wa watoto akatushauri vizuri baada YA hapo mtoto alikuwa vizuri na mwingine akazaliwa bila tatizo leo ni wakubwa Hadi raha mmoja miaka 14 mwingine 13 na wana afya nzuri

kwa kweli Mkuu Ndaba hata mimi nilikuonea huruma sana,msalimie NasKijana usihofu cha muhimu lishe mimi yalishanikuta Mtoto Ana miezi nane mimba tena, tukaenda kwa docta wa watoto akatushauri vizuri baada YA hapo mtoto alikuwa vizuri na mwingine akazaliwa bila tatizo leo ni wakubwa Hadi raha mmoja miaka 14 mwingine 13 na wana afya nzuri
Kumbe hakuna shida kama mtoto bado mdogo,ngoja na mimi niongeze mwingine ili tupumzike mapema,maana wa kwangu ana miezi kumi
Ongea na mtaalam wako wa afya atakushauri vizuri lakini imeshatokea kwa watu wengi na mambo yameenda vizuri tuu