Tuna njaa - wakazi wa Eastleigh huko Nairobi wapiga kelele

Tuna njaa - wakazi wa Eastleigh huko Nairobi wapiga kelele

na wamefungia malori mpakani yenye mahindi na maharage[emoji23][emoji23][emoji23]

kweli ukishindwa kuchagua,umechagua kufeli.
 
Pumbavu Kenyatta unafungia watu ndani wakati huna uwezo wa kkuwalisha, kumbuka njaa ni hatari Mara mia afadhali ya corona
 
Hawa wapuuzi wanaofunga mipaka muda c mrefu watakuja kupga goti kwa jiwe na kuiomba msamaha Tanzania
 
Back
Top Bottom