Tuna shida mahali kwa swala a Ajira

Tuna shida mahali kwa swala a Ajira

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
6,816
Reaction score
8,809
Tunazaliana usiku na mchana ila nashangaa eti walimu hawana kazi, Nchi inachekesha sana

Mzungu ana watoto wawili ila walimu hawatoshi pamoja na jitihada za serikali, ila sisi

Tangazo la kazi unalikuta barabarani na bado watu hawaendi

20221226_120916.jpg
 
Tofauti ya hao na sisi ni kwamba wameweka mazingira chanya ya kuwa na SMEs na startups nyingi ambazo zinasaidia kutoa ajira.

Sasa Tz tuna kampuni chache ukichanganya nyingine hivi karibuni ziliaga na kufunga virago. kiukweli serikali haiwezi ikaajili kila graduate anaemaliza chuo na kampuni private nazo hazitoshi.
Katiba Mpya haitoondoa tatizo completely, tunatakiwa tufikirie tofauti.

Tuelewe tatizo linapotokea hasa
 
Back
Top Bottom