Tofauti ya hao na sisi ni kwamba wameweka mazingira chanya ya kuwa na SMEs na startups nyingi ambazo zinasaidia kutoa ajira.
Sasa Tz tuna kampuni chache ukichanganya nyingine hivi karibuni ziliaga na kufunga virago. kiukweli serikali haiwezi ikaajili kila graduate anaemaliza chuo na kampuni private nazo hazitoshi.
Katiba Mpya haitoondoa tatizo completely, tunatakiwa tufikirie tofauti.
Tuelewe tatizo linapotokea hasa