Tuna Soko la Kahawa

Kokola

Senior Member
Joined
Sep 5, 2015
Posts
135
Reaction score
78
Wadau

Tuna soko la uhakika la kahawa nje ya nchi. Muuzaji kama ana shamba mwenyewe au awe anajua kahawa yake inatoka wapi. Soko lipo la uhakika. Mwenye kutaka habri Zaidi tuwasiliana kwa pm. Ahsanteni sana wakuu wa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…