TUNA,....TAKA, HAKI ZETUU....... Sauti ya wanafunzi UDOM

Kiny

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
289
Reaction score
57
Katika swala lisilo la kawaida, viongozi mafisadi wameamua kukaa chini na kuongeza fedha ya medical capitation kwa mwaka wapili, je swala hilo mnalionaje hakuna mabaraza ya wanafunzi yaliyoshirikishwa, huduma pale social mbovu, kuna watu walilipa pesa mwaka jana hata sasa hawajapata bima....... WI TO: SWALA HILI TUSIRIKUBALI HATA KIDOGO mtoto wa mkulima anawasilisha.
 
mmmmmh!!!kweli,.kuwa na subira wakati linashghlikiwa!!
 
Mkuu,hivi imekaaje kwa wanachuo wenye bima ya afya,wanatozwa medical capitation?
 
kagomeni bwana! na tena ongezeni na hili KABOOM HAKATOSHI" maana sisi wa huku kwa dini hatuwezi mambo hayo!
 
Mtajibeba hilo ndio udom uongozi hovyoo ! Kasome tu mkuu ukijifanya kiherehere degree utaisikilizia kwa wenzio tu shaulilo!!
 
Mkuu fata kilichokupeleka UDOM, pale hukuenda kutibiwa bali ulienda kusoma na kama unataka matibabu nenda MOI au Bugando..eboooooo!
 

katika maisha yako unataka nini
1.Elimu
2.Ulemavu(ungali umzima mwenye viungo vyote)
3.ujinga
4.Umaskini
5.Siasa isiyo na tija
NB: maisha ni kutafuta si kutafutana.......
 
sie wa bugando tunalipa 200000 kila mwaka! kweli dunia haiko fair
 

WW ungerikua mtoto wa mkulima usingelikubal chuo chenu kitumiwe na mafisadi/wala rushwa /wezi wa nchi hii kina lowsa.kujipendekeza kwenu kunawaponza mtapandiahiwa kila kitu na mtalipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…