Tuna transfer ban lakini hiki kikosi ni noma

Mc Eleven

Member
Joined
Dec 25, 2018
Posts
38
Reaction score
31
Habari wanamichezo!.. Timu yetu ya Chelsea tumefungiwa kusajili kwa msimu mmoja lakini kikosi kilichopo ni hatari.

Yaan Super frank Lampard , ana kazi ngumu ya kupata first eleven, Pulisic , mount , Abraham , Zouma , Barkley ni fire hapo nan aanze na nan asubiri.

Salam ziwafikie ndugu zangu Man U , mjipange na kichapo Agost 11 , hamtoki ndugu zangu.

7 days remain to #EPL #FL #CFC
 
Ninachofahamu ukitaka kikosi kifanye vzr uwe nakikosi chenye uchu wa mafanikio yni ukutane n wachezaji wasio na mataji ukiwa kocha mzri unatoboa lampard kakutana na kikosi kma iko ndani ya Chelsea akiwa mjanja n muda wa kukuza CV yk
 
Ila huyo mtoto mount ni balaa yan kampiga chenga serg hadi kaamua kukaa
 
Habari wanamichezo!.. Timu yetu ya Chelsea tumefungiwa kusajili kwa msimu mmoja lakini kikosi kilichopo ni hatari.

Yaan Super frank Lampard , ana kazi ngumu ya kupata first eleven, Pulisic , mount , Abraham , Zouma , Barkley ni fire hapo nan aanze na nan asubiri.

Salam ziwafikie ndugu zangu Man U , mjipange na kichapo Agost 11 , hamtoki ndugu zangu.

7 days remain to #EPL #FL #CFC
Chelsea hauwezi kuitofautisha na GWAMBINA FC maana uyo Abraham Hana tofauti na pastor athanas.
 
Uko sahihi kabisa vijana , wanauchu wa mafanikio
Ninachofahamu ukitaka kikosi kifanye vzr uwe nakikosi chenye uchu wa mafanikio yni ukutane n wachezaji wasio na mataji ukiwa kocha mzri unatoboa lampard kakutana na kikosi kma iko ndani ya Chelsea akiwa mjanja n muda wa kukuza CV yk
 
Hawatoamini tutapochukua EPL

Kwa kikosi kinachodhaniwa cha kawaida na kuwaondosha vigogo UCL
 
Kwa forward ya jirud ? Na Abraham ?

Na kipa pazia kepa?

Tutakuja kufukua makaburi
 
Back
Top Bottom