Chelsea hauwezi kuitofautisha na GWAMBINA FC maana uyo Abraham Hana tofauti na pastor athanas.Habari wanamichezo!.. Timu yetu ya Chelsea tumefungiwa kusajili kwa msimu mmoja lakini kikosi kilichopo ni hatari.
Yaan Super frank Lampard , ana kazi ngumu ya kupata first eleven, Pulisic , mount , Abraham , Zouma , Barkley ni fire hapo nan aanze na nan asubiri.
Salam ziwafikie ndugu zangu Man U , mjipange na kichapo Agost 11 , hamtoki ndugu zangu.
7 days remain to #EPL #FL #CFC
Ninachofahamu ukitaka kikosi kifanye vzr uwe nakikosi chenye uchu wa mafanikio yni ukutane n wachezaji wasio na mataji ukiwa kocha mzri unatoboa lampard kakutana na kikosi kma iko ndani ya Chelsea akiwa mjanja n muda wa kukuza CV yk