MWANA WA UFALME JF-Expert Member Joined Sep 10, 2010 Posts 578 Reaction score 144 Nov 4, 2010 #1 Ninachokiona sasa ni kuwa nec hii inayosoma matokeo ni tume ya kampeni ya chama cha mapinduzi na si tume ya taifa ya uchaguzi na hivyo tuna haki ya kuwa na tume independent ya taifa ya kusimamia uchaguzi.
Ninachokiona sasa ni kuwa nec hii inayosoma matokeo ni tume ya kampeni ya chama cha mapinduzi na si tume ya taifa ya uchaguzi na hivyo tuna haki ya kuwa na tume independent ya taifa ya kusimamia uchaguzi.