Tuna uza mafuta ya ubuyu kwa bei nafuu

Mzeenani64

Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
52
Reaction score
5
• Tuna uza mafuta ya ubuyu kwa bei nafuu
MAFUTA YA UBUYU/BAOBAB SEED OIL

NI MAFUTA HALISI YANAYOTOKANA NA MBEGU YA UBUYU.UTAFITI ULIFANYWA KUHUSU MAFUTA YA UBUYU UMEONESHA KUWA YANA UBORA KULIKO MAFUTA MENGINE YOYOTE YANATIBU MAGONJWA MENGI. PIA YANA MANUFAA KATIKA MWILI WA BINADAMU.
Yanapatikana kwa jumla na rejareja dar es salaam na dodoma
mawasiliano; 0716955722,
• yanatengeneza seli ndani ya mwili
• yanatengeneza ngozi isiharibike wala kupata makunyanzi
• yana virutubisho vyote Omega 3,Omega 6 na 9.
• yanatibu kucha na kuhimarisha nywele
• hutibu vidonda vya tumbo
• yanaleta hamu ya kula
• yana vitamini A,D,E,F,B1 na B2
• yana safisha ini na figo
• yanapunguza uzito uliozidi
• yanaongeza CD4
• yanatengeneza sukari kwa kiwango kinachotakiwa
• yanasaidia kuona na kumbukumbu
• huondoa hamu ya kutumia madawa ya kulevya
• yanapunguza vitambi na matumbo makubwa
• yanafaa kwa walemavu wa ngozi



Edit Post Reply Reply With QuoteSee More








62Like · · Share
 
Wekani bei bana 40 posts bado hujui kuweka tangazo JF?
 

Bei gani kwa lita? Na upatikanaji wake kwa Dar? Au mpaka Dom?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…