Elections 2010 Tuna viti vingapi hadi sasa wana jf wenzangu

Babasean

Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
35
Reaction score
2
Hi wandugu!
NInaomba mnijuze mwenzenu niko nyuma kidogo hasa kwa kuwa siku mbili hizi nilikuwa nje kabisaa ya mawasiliano ya aina yoyote ile.
naomba kufahamu idadi ya viti vya ubunge tulivyochukua hadi sasa, hapa namaanisha vya Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…