Tuna vitu vingi ambavyo ni vya kutoka nje lakini sijawahi ona mwiko wa kusongea ambao umeagizwa kutoka nje ya nchi

Tuna vitu vingi ambavyo ni vya kutoka nje lakini sijawahi ona mwiko wa kusongea ambao umeagizwa kutoka nje ya nchi

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Kama kuna mwiko (miko) ya kusongea ugali ambayo ni imported au ya chuma au madini yoyote aniambie. Mi sijawahi iona. Kwa hili tunaweza sana.

Miko yote ni miti na inatengenezwa hapahapa. From the concept of comparative advantage let's concentrate in this business so as to gain more through importation.
 
Ungejua kuna sufuria za kusongea ugali kama ilivyo rice cooker wala usingehimiza tuote sugu kwa kutengeneza hiyo miiko.

Tech inatuumbua ndgu yangu, kila kitu kimerahisishwa kijana.
 
Screenshot_20240706-194321_Instagram.jpg
 
Kama kuna mwiko (miko) ya kusongea ugali ambayo ni imporyed au ya chuma au madini yoyote aniambie. Mi sijawahi iona. Kwa hili tunaweza sana. Miko yote ni miti na inatengenezwa hapahapa. From the concept of comparative advantage let's concentrate in this business so as to gain more through importation.
Mbuzi ya kukunia nazi ulishaona? Kibuyu je?
 
Ata machine ya kuchambua senene cjawai kuiona naisi senene China hawapo.
 
Temmbelea hotel zza kitalii zinao milikiwa/kuendeshwa na wageni utakuta wooden spoons (Miko) Toka Ufaransa na South Africa
 
Ugali ndio chakula chetu kikuu,majority.Nchi ina watu zaidi ya Milioni 62.
Chakula chote hiki kinatengenezwa na Miko!
Na Miko almost yote haiwi imported,ni locally made!
Kwa mintaarafu hiyo kumbe tunaweza kuzalisha bidhaa zetu muhimu,ikiwemo toothpick hapa Nchini.
 
Kama kuna mwiko (miko) ya kusongea ugali ambayo ni imported au ya chuma au madini yoyote aniambie. Mi sijawahi iona. Kwa hili tunaweza sana. Miko yote ni miti na inatengenezwa hapahapa. From the concept of comparative advantage let's concentrate in this business so as to gain more through importation.
Kitu kama wewe hujakiona ndiyo hakipo duniani au sijakuelewa?

Kuwa uyaone kijana. Usifikiri mwiko unatumika Tanzania tu.

Halafu nani alete miko ya miti wakati huku kwetu miti ipo kila aina na ni rahisi sana?

Unaweza ku google "wooden cooking spoons" utaiona ya kila aina kuliko tuliyonayo hapa kwetu.

Tanzania tuna safari ndefu ya kwenda. Tunahitaji "exposure" ya nguvu.

Tumejazwa sana ujinga na tunaendelea kuukumbatia.
 
Pamoja na matusi anayotukanwa Nyerere na watu wa ovyo alijitahidi Sana kuifanya nchi ijitegemee.

Mapanga, chepeo, majembe, visu, rake, vikombe, sahani na bidhaa nyinginezo zinazoagizwa kwa Sasa alihakikisha zinatengenezwa Tanzania.
 
Back
Top Bottom