Tuna watoto 4, wote kwa operesheni, mimba ya 5 (na mke alishafunga kizazi)

Yes hun. I am a CS and I know we wouldn't both have made it.

My son is the huge type. At 18 months ananifika kiunoni.... Pata picha.

Am not delving so much into the medical reasoning behind it am just brushing by.

ha ha ha ha ha ha!!!!!!!! khaaaah..... wewe!!!!!!!

with close monitoring and early health care atajifungua , asitishike namna hiyo mummy.
 

Hapo nilipo bold hapo juu linawezakana tu mkuu ndiyo maana njia zote za uzazi wa mpango na hii ya kufunga mirija(BTL) hukuna yenye uhakika 100% may be 98% so percentage inayobaki ndo hiyo sasa.Nilishuhudia dada aliyefungiwa mirija akaenda kula tunda na mmewe mwaka uliofuata akarudi hosp.na mimba so inatokea........NI Mungu tu asiyekosea.
 

najua hilo.........
 
Nenda kwa nabii tb joshua awaombee mama na mtoto wate watakuwa salama kwa mungu yote yawezekana.
 
Nenda kwa nabii tb joshua awaombee mama na mtoto wate watakuwa salama kwa mungu yote yawezekana.

Wacheni kukariri mambo hizi Imani nyingine nikumjaribu MUNGU tu! umepewa Akili yanini sasa! hizo gharama za kwenda huko kuckokuwa na Uhakika cniafadhali afanye jambo lenye uhakika,,,! Nyie ndo wale ambao TAA inawaka na Switch unaiona badala yakwenda kuzima unapiga maGOTI ili MUNGU akuzimie hiyo TAA duh,,,!!!
 
Mtoa mada umesema nurses ndo wamekuambia ivo? Jee ushaonana na wataalam?

Kuna uwezekano wa kupata huyo mtt na mama na mtt wote waka survive.
 
ahsante kwa kunipa matumaini Angel Nylon

Ndugu yangu kuna watu wana ushauri kama nguvu za Giza. I wonder kwa nini wako kwenye idara ya afya. Lakini sio kosa lao yawezekana mtu uliyekutana naye sio mtu sahihi wa kuweza kukushauri kwa situation kama yako. Kuna risk nyingi ambazo hutokana na kufanyiwa operation mara nyingi lakini sio ndio zipelekee kutoa emergency ya kufanya hayo uliyotuambia UNLESS mimba iko nje ya kizazi. Tafuta daktari akupe ushauri ikiwapo na kufanya ultrasound ili kujua mimba iko ndani au nje ya kizazi. Kama iko ndani ya kizazi huyo mama atajifungua tu ila ni kwa operation tena!! Lakini kaa ukijua kuna risks kama mimba kutoka, placenta previa, kondo la nyuma kutoka kabla ya wakati na matatizo mengine ya mimba ambayo hata mwenye mimba ya kwanza anaweza kupata. Anahitaji kuwa na close monitoring, hivyo tafuta daktari ambaye utakuwa unamlipa as a private Dr ili awe anamuona mkeo kwa karibu. Kuna mambo ni Mungu pekee ndiye hupanga. Usisahau kutupa updates,
 
Last edited by a moderator:

hahahaa, pamoja na kuwa umeandika kihuni nimelike. safi sana, nimekubali reasoning yako, punguza vifupisho visivyo na umuhimu wala maana tu.
 
Nenda kwa dr bigwa wa kina mama achana na ushauri wa nurse Mimi Nina nduguyangu alishapasuliwa Mara 4 na sasa ana mimba nyingine next month anajifungua na anaendelea na kazi Kama kawaida. Ye anaonwa na dr kapona agakhan.
 
Kabla hujaamua pata ushauri wa madaktari bingwa zaidi pale muhimbili (Dr. Kamugisha, Dr. Thomas nk) Aghakhan (Dr. Kaguta, na wengineo,) kiufupi nenda kwa wataalamu wa kina mama,hao ndo wanaweza kukupa majibu sahihi zaidi.fanya hivo mapema mkuu!
umemshauri vizuri.au pia akamuone prof mgaya bingwa wa wanawake pale muhimbili
 
Pole ndugu. Only Jesus can rescue you. Njoo kanisani nimeona wamama wengi wakifunguliwa kwa jina la Yesu. Kama unaamini Mungu yupo njoo utaombewa wewe na Mkeo na atajifungua salama. Izo ni ripoti za ma dr. Sio Mungu. Mungu akutie nguvu....!
 
nimeona sana hizo case za tubal ligation kuleta matatizo. yaani kufunga uzazi kwa kukata na kufunga mirija ya uzazi huwa inafunguka na kujiunga tena na mayai yanapita vzr tu. kuna mmama alikuja kuzaa tena angali mtoto wa mwisho ana miaka 20 ni baada ya kufunga kizazi kwa njia hiyo.

pole sana kaka. ni vyema kufuata maamuzi ya dr zaidi yale yanayookoa maisha ya mama
 

hongera kwa kuzaliwa.
wewe ni mpango maalum wa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…