Tuna watoto 4, wote kwa operesheni, mimba ya 5 (na mke alishafunga kizazi)

Manesi wengine wakatisha tamaa kana kwamba wao ni mungu,angekuwa ni daktari bingwa hapo sawa.
we watafte madaktari bingwa naamini mungu yuko nawe na atakufanyia wepesi.
 
Mungu ndie mpangaji wa yote, hata mimi jirani yangu yalimkuta kama yako ila yeye alikataa kufunga uzazi kwani alikua na kiu ya mtoto wa kiume, akapata mimba na akalea mimba yake ilipofika siku akajifungua salama na ni miujiza tu mana alijifungulia nyumbani hakuwahi hata kupelekwa hospital, na alikua kweli ni mtoto wa kiume kwaiyo siwezi kuambia utoe au usitoe kwani ikiwa mungu ameandika mkeo kifo chake kitokane na hiyo mimba pia anaweza kupoteza maisha katika hiyo proses ya kutolewa mimba na ikiwa mungu amemuandikia kupata watoto watano au zaid basi huyo alie tumboni atakuja salama na wengine pia watafatia haya ni mambo ya ghaib hakuna ajuae ila mwenyewe mungu muhimu ni kumuomba mungu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…