Tunaanda Party ya Magufuli kuwa Mwenyekit wa Chama.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Washirik wote waache majina yao tuta wa pm.
 
Tangu ninyimwe ukuu wa wilaya sina hamu kabisaaaaaa
 
Oooooh! Habari nzuri Sana hii. Niandike mimi. Majina yangu
1. NAICHUKIA CCM DAIMA.

Nategemea majibu.
 
Oooooh! Habari nzuri Sana hii. Niandike mimi. Majina yangu
1. NAICHUKIA CCM DAIMA.

Nategemea majibu.
Lakini sisi tunakupenda na tunahakikisha watoto wako wana madawati ya kukalia.
 
Mtaipenda CCM ya Magufuli muwe na imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…