Tunaanza na Tume Huru Kwanza

Njia mnayopitia hata mtangulizi wenu kwenye ndoa - CUF - aliyapitia.
Fuatilieni yupo wapi?
Mkiachika msije kutulilia
 
Mnawaza madaraka baada ya maendeleo, tume huru hufanya kazi wakat wa uchanguzi lakini katiba inafanya kazi kila siku, mkiambiwa nyie ni CCM B msikimbilie CHUKI
 
Hawa ni CCM B
 
Kwenye KATIBA ILIYOPO kuna KIFUNGU kinasema MATOKEO ya Urais yakishatangazwa na TUME Hayahojiwi
Je TUME inafutaje hicho kipengele kwenye Katiba?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Haswa ACT ni MAMLUKI kwani hiyo Miaka 4 ni Mingi? Mbona tumevumilia KATIBA ILIYOPO KWA MIAKA 60

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hii katiba iliyopo tu inakanyagwa na nyinyi wapiga kelele mitandaoni mmeufyata! Nini kitasababisha hiyo katiba mpya mnayoitaka isikanyagwe pale itapopatikana? Katiba ya chama unachokishabikia ilikuwa Mkiti awepo kwa awamu 2 za miaka mitano then amuachie mwingine, nini kilitokea? Kupiga makelele ya katiba rahisi sana, ila kama hata kama katiba za vyama vyenu hamuheshimu, mtaheshimu katiba ya nchi? Jamaa wanafiki sana
 
Pendekeza kwenye Katiba Tarajiwa kwamba Atakae kanyaga Katiba auawe kama kuna atakaye kanyaga!
View attachment 2082774
 
ACT stands for Alliance For Cowards & Traitors
 
Mngeanza na Chama Chenu kwanza ile nafasi ya mtemi mkuu mngeiondoa🐒
 
Acheni kutumika. Tunachotakiwa ni kufumua system yote kwa kuandika katiba mpya. Uwezo wa kununua nguo mpya upo kwanini tushone viraka. Ila Mimi tangu ACT wapigwe na wengine kuuwawa kule pemba kwenye uchaguzi wa 2020 na bado wakakubali kuolewa na CCM niliwatoa Kama chama Cha upinzani Bali chama Cha fursa. Wapemba wazinduke waje CHADEMA kwenye upinzani wa kweli.
 
Ila ACT imewasaliti wapemba. Wangegoma kuolewa kwenye ndoa na CCM mpaka madhira ya wapemba kwenye uchaguzi wa 2020 yashughulikiwe. Wenyewe wakaona Bora wapate Wizara mbili tu. Wakasahau Kuna mbunge was mmoja alifariki kwa kupigwa risasi kwenye mguu. Mimi nashangaa akina Ismail Jussa na Bimani kuwa Chini ya Zitto mzee was fursa. Sijui aliwadanganya nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…