Tunabadilisha vioo vya tv

Tunabadilisha vioo vya tv

Dazla tech

Member
Joined
Nov 10, 2023
Posts
38
Reaction score
19
kwa wale wenye changamoto za kiufundi kama vile flat tv na vifaa vya umeme vya nyumbani tunarekebisha na kununua vifaa hivyo kwa wanaotaka kutengeneza au kuziuza asanteni na karibuni sana.
Tunapatikana kariako msimbazi.
IMG-20231225-WA0017.jpg
 
tv ni matunzo tu mkuu
laini sana..........nina hisense nilinunua kenya 2017 hapo inadunda mpaka leo,,,,,ila hii niliochukua kariakoo mwaka jana hata mwaka haikumaliza kioo kikapata crack na ilikua imebebwa tu kupelekwa chumba kingine,,,kioo chake ukigusa kidogo tu kina crack bora wangeziwekea protector
 
Tunauliza maswali hatujibiwi mkuu mleta Uzi. Shida iko wapi??
 
Back
Top Bottom