Tunabadilisha vioo vya tv

tv ni matunzo tu mkuu
laini sana..........nina hisense nilinunua kenya 2017 hapo inadunda mpaka leo,,,,,ila hii niliochukua kariakoo mwaka jana hata mwaka haikumaliza kioo kikapata crack na ilikua imebebwa tu kupelekwa chumba kingine,,,kioo chake ukigusa kidogo tu kina crack bora wangeziwekea protector
 
Tunauliza maswali hatujibiwi mkuu mleta Uzi. Shida iko wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…