Tunabaguliwa kiaina flani hivi naona sema basi tu.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Sisi ambao tunakuwa sana nje ya nchi tukirudi tunabaguliwa sana. Sababu ya pamba tunazopiga na pesa. Yaani hata mademu unaona kabisa wanatubagua. Wanataka sisi kwetu wawe hivyo na kwa ninyi wawe vile.

Serikali iangalie suala la uraia pacha pia. Humu JF wengi ni Watanzania tunaoishi nchi za ukweli.
 
Swala la uraia pacha ni jambo zuri Kwa nchi zilizoendelea lakini Kwa Tz wakikubali Hilo swala Kwa uchumi huu wa wananchi basi watanzania watajikuta watumwa rasilimali zote ztanunuliwa
 
Hiyo iko kichwani mwako, unajibagua mwenyewe.
 
Swala la uraia pacha ni jambo zuri Kwa nchi zilizoendelea lakini Kwa Tz wakikubali Hilo swala Kwa uchumi huu wa wananchi basi watanzania watajikuta watumwa rasilimali zote ztanunuliwa
Kivipi? Mtu kazaliwa Tz, kasoma Tz, chuo kaenda nje na kuanza kazi huko. Kwanini anyang'anywe uraia kwa kuwa kachukua uraia? Atawafanya vipi nduguze watumwa? Mbona pesa zake wanapokea miaka nenda, miaka rudi?
 
Back
Top Bottom