Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hiyo iko kichwani mwako, unajibagua mwenyewe.Sisi ambao tunakuwa sana nje ya nchi tukirudi tunabaguliwa sana. Sababu ya pamba tunazopiga na pesa. Yaani hata mademu unaona kabisa wanatubagua. Wanataka sisi kwetu wawe hivyo na kwa ninyi wawe vile.
Serikali iangalie suala la uraia pacha pia. Humu JF wengi ni Watanzania tunaoishi nchi za ukweli.
Kivipi? Mtu kazaliwa Tz, kasoma Tz, chuo kaenda nje na kuanza kazi huko. Kwanini anyang'anywe uraia kwa kuwa kachukua uraia? Atawafanya vipi nduguze watumwa? Mbona pesa zake wanapokea miaka nenda, miaka rudi?Swala la uraia pacha ni jambo zuri Kwa nchi zilizoendelea lakini Kwa Tz wakikubali Hilo swala Kwa uchumi huu wa wananchi basi watanzania watajikuta watumwa rasilimali zote ztanunuliwa