Troubleshooter
Senior Member
- Mar 30, 2016
- 120
- 136
Ndio kazi tunayofanya, karibu tukuhudumie.Vipi hivi vitabu vya soft copy mnaweza kuvitengeneza vikawa vitabu halisi?
Nicheki kwa namba hiyo hapoBrochure ya Z-Fold mbele na nyuma mnaprint kwa bei gani boss? Na vipi delivery kwa mtu aliyepo Mwenge?
Pic moja ni 1000 zikiwa nyingi bei inapungua.Brochure ya Z-Fold mbele na nyuma mnaprint kwa bei gani boss? Na vipi delivery kwa mtu aliyepo Mwenge?
Sawa boss, shukran ntakuchekiPic moja ni 1000 zikiwa nyingi bei inapungua.
Poa poa, nitakutafutaNicheki kwa namba hiyo hapo
Unataka vitabu vingapi?Kitabu cha Receipt shingap ,na business card?