Hivi kweli kwa maisha haya ambayo ukiugua corona huchukua round mnapata wapi ujasiri wa kufurahia maisha na huku mnasema watu wanatembea sio mchezo. Mimi binafsi nilitegemea sasa hivi muwe mnakesha mkiiogopa ile siku inayokuja kuwasaga meno na kuwaliza.
Cha ajabu mnachati tu katika na group yenu huko mnacheka mkiona vituko mixer mapicha ya ngono na maulevi kwa juu. Kwanini WEWE kifo tunakusahau haraka sana wakati wewe tu ilikuwa iwe ni sababu tosha kwetu sisi kuwa wacha Mungu au ndo kusema tutaokolewa na neema.