Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 50
Too simple...sio swali la kiJF!:angry:Simple: Nitachuka Mizani halafu upande ule wa kuweka jiwe la mizani naweka sarafu moja, na kuli kwingine naweka sarafu nyingine the naangalia jinsi zitakavyo balance, ikitokea zipo sawa basi ile ambayo sijaiweka kwenye mzani ni kubwa, la kama ikitokea moja imemzidi mwenzie basi moja kwa moja yule aliyemzidi mwenzie ndo kubwa
Jaribu tena ni rahisi sana swali lako.........hata mtoto wa vidudu anajibu
Simple: Nitachuka Mizani halafu upande ule wa kuweka jiwe la mizani naweka sarafu moja, na kuli kwingine naweka sarafu nyingine the naangalia jinsi zitakavyo balance, ikitokea zipo sawa basi ile ambayo sijaiweka kwenye mzani ni kubwa, la kama ikitokea moja imemzidi mwenzie basi moja kwa moja yule aliyemzidi mwenzie ndo kubwa
Jaribu tena ni rahisi sana swali lako.........hata mtoto wa vidudu anajibu