Kicheche mkali
JF-Expert Member
- Nov 3, 2021
- 290
- 266
Vipi mkuu walikuchimbia?Nani mwenye uzoefu waliochimbiwa haya mashimo? Angalau lina miaka mitatu.
Magumashi mengi. NilighailiVipi mkuu walikuchimbia?
Mi kuna mmoja apa nimempanga nikipata pesa waje wanijengee.... Ila moyo bado mzito sanaa naona jamaa siwahamini kabsaMagumashi mengi. Nilighaili