tawa driller
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 296
- 152
Saiti iko wapi boss maana bei ya uchimbaji inategemea na saiti ilipo kama ni mkoani au ni hapa hapa Dar es salaamgarama ya kuchimba kisima chenye urefu wa 30m ( vertical) ni shilingi ngapi?
Saiti ipo Kigamboni Kibada, majirani2 wana visima vyenye maji ya chumvi, je upo uwezekano wa kupata maji baridiSaiti iko wapi boss maana bei ya uchimbaji inategemea na saiti ilipo kama ni mkoani au ni hapa hapa Dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezekano kwa hizo mita 30 tutakuchimbia kwa shillingi millioni 2 na nusu hapo utawekewa bomba,tukuwekea pampu pamoja na kukusafishia kisima chako bure kabisaSaiti ipo Kigamboni Kibada, majirani2 wana visima vyenye maji ya chumvi, je upo uwezekano wa kupata maji baridi